Hey mambo vipi wapendwa, karibu sana kwenye kurasa hii. Ina langu(la utani) ni keino. Kurasa hii imetengegwa hususani kwa ajili ya jamii ya Africa Mashariki na kwa wale wanablogu wanaotumia lugha ya Kiswahili. Uliza swali lolote kuhusiana na blogu, uadaji, mbinu na jinsi kwa kutumia kijisanduku cha maoni hapo chini. Ntakupa mwongozo kamili kuhusiana na blogu.
je, nitawezaje kuanzia blogu yangu kwa muudno wa kuvutia?
ReplyDelete